📄 Data & Report Viewer
Title: Faida ya matumizi ya majiko banifu katika Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Manyara Tanzania
Author: Getrude Sombe
Role: Member of Environment Sector sector
Posted Date: 2023-07-01 14:31:53
Status: Published
📝 Description:
David Petro Mkufunzi wa majiko banifu akielezea namna majiko banifu yaliyowezesha kupunguza ukataji miti ovyo na kutunza mazingira katika Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Manyara Tanzania