📄 Data & Report Viewer
Title: Mafunzo kuhusu namna ya kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi katika Halmashauri ya Mvomero Tanzania
Author: Getrude Sombe
Role: Member of Environment Sector sector
Posted Date: 2023-07-01 12:38:18
Status: Published
📝 Description:
James Mkude Mkufunzi wa Mradi akielezea jinsi wajasiliamali wadogo walivyonufaika na mafunzo ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi katika Halmashauri ya Mvumero Morogoro Tanzania